Shirika la Umeme Tanzania
TANESCO linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa Mwanza na wilaya ya Geita,
kuwa kutakuwepo na katizo la umeme
SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 28/09/2013 kuanzia saa 2:00 Asubuhi hadi
saa 12.00 JIONI.
SABABU YA KATIZO HILI NI
MATENGENEZO
KWENYE KITUO KIPYA CHA KUPOKELEA UMEME KILICHOJENGWA NA MRADI WA
MCC KILICHOPO NYASAKA NA KUBADILISHA NGUZO ZILIZOOZA KATIKA ENEO LA
IBANDA.
Maeneo yatakayoathirika na katizo hili ni
NYASAKA,MAJANINI,NATIONAL,BAADHI YA MAENEO YA MABATINI,FURAHA
BAKERY,MWATEX,MECCO,NYAKATO FOOD, NYAKATO MWANANCHI,BUZURUGA, BUSWELU,
KANGAE,SIMA, IGAKA, ISUNGANHOLO, KASAMWA,SARAGULWA, CHIGUNGA,
CHIKOBE,BUKONDO NA GEITA MJINI.
TAHADHARI
Tafadhali
usishike,usikanyage wala kusogelea nyaya za umeme zilizolala chini
,unaweza kuwasiliana na kitengo cha dharura TANESCO Mwanza kupitia
namba
zifuatazo 028 250 0090 , 028 250 1060.
SHIRIKA LINAOMBA RADHI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA.
Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano.
Tanesco:MakaoMakuu.
No comments:
Post a Comment