KATIZO LA UMEME –KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania
TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:
|
SABABU:
|
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
|
Jumanne
24 September 2013
0300-1100 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini
|
ITV
and Radio One,Tan pack tissues,Mwenge Kijijini, Bamaga,Chuo cha Ustawi
wa Jamii/Welfare
Institute,Hongera bar,Science Commission/Tume ya Sayansi,Polisi
Mabatini,Flats za Chuo cha Ustawi wa Jamii,Afrika sana,TRA Mwenge,Shule
ya Msingi Mapambano,Flats za Chuo Kikuu cha dar es salaam,Meeda bar
street,Blue bird area,flats za Jeshi TPDF Mwenge,Mama
Ngoma hospital,TBC flats,Ikangaa street,BOT flats,Kijitonyama kwa
Mwarabu area.
|
Jumatano
25,September,2013
0300 - 1100 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini
|
Government
houses Mikocheni,TPDC,Rose Garden,TTCL Kijitonyama,Earth
satelite,Commission
of Universities of Tanzania,Millenium tower,Letisia tower,CRJE,Heko
Kijitonyama,Mjimwema,Kijitonyama Ali maua,Kijitonyama Kisiwani,Hon.Anna
Makinda area,Contena bar,Queen of Sheba area,Bobs motel,Roman Catholic
church Kijitonyama,Johannesburg & Wanyama & Lion
hotels,
|
Alhamisi
26,September ,2013
0300 - 1100 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini
|
.
Mikocheni business area,Ushindi primary school,BIMA flats,Five star, Mikocheni 'B' Assemblies of God,Cocacola
rd, Msasani beach,Kawe beach,Kawe Maringo, Clouds entertainment,K-Net tower.
|
Ijumaa
27 ,Septembert,2013
0300 - 1100 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini.
|
Kunduchi feeder:
Mbezi
juu,Mbezi samaki,Baraza la Mitihani Mbezi,St.Marys school mbezi,Mbezi
garden,Ndumbwi,Mbezi kwa Msomali,Mbezi
Makonde,Mbezi Machakani,Mbezi NSSF,Mbezi Masoko ya kariakoo flats,Mbezi
Jogoo,Art Garlery,ATN/Agape Television,Maaza juice factory,Polypet
industry,Interchik and Chemi& Cotex factories.
|
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo
022 2700367, 0784 768584, 0716 768584..
Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano,
TANESCO Makao Makuu
No comments:
Post a Comment