TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI
Shirika la Umeme Tanzania
(TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
SABABU: Kufanya ukarabati wa line ya msongo mkubwa (Nordic feeder) na kuunga
cable zilizoungua Kwenye kituo cha kupozea umeme cha ubungo..
RATIBA YA KATIZO LA UMEME
TAREHE NA MUDA
|
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
|
Jumatatu hadi Alhamisi
16/09/2013-19/09/2013
Saa 3:00 Asubuhi hadi saa 11:00 jioni
|
Ubungo
Kibangu, Makoka, Kimara Mwisho, Bonyokwa, Kimara Stop Over, Kimara
Temboni, Kimara Suka, kwa Msuguli, Kibanda cha mkaa, Mbezi
Mwisho, King’ong’o, Makabe, Mpigi Magohe, Kwembe, Kibamba, Malamba
Mawili na maeneo ya jirani.
|
Jumatatu - Jumanne
16/09/2013-17/09/2013
Saa 4:00 Asubuhi hadi saa 11:00 jioni
|
Landmark
Hotel, Part of Ubungo Kisiwani Area, Mikoani Traders, Benjamini Mkapa
Economic Zone, BP Mandela road, Mlimani property, Diesel Mandela
Road,SITA Steel,Simba
Steel,NIDA Textile,Tabata, ALAF,Cello Industry,Buguruni Maji
machafu,Part of Buguruni Kwa Mnyamani,Bora Industry,Kioo Limited&TCC
,Tridea Cosmetics ,Quality Centre, Azam Buguruni, Alaf LTD, Qujam
Steel, Kamal Steel, Bakresa, Steel Master, Cello Industry,
East star International.
|
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo
0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461, Au Call centre number 2194400 or 0768 985100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSINAO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment