SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa,
kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE
|
SABABU
|
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
|
Alhamisi
Tar
12,Septemba 2013
03:00-11:00
Jioni
|
Kubadilisha
Nguzo zilizoungua na kukata miti kwenye laini ya umeme
|
Mtoni
Kichangani,Mtoni kwa Aziz Ally, Tandika Sokoni, Mtoni Kindande, Viwanja
vya Sabasaba , Temeke Hospital, Viwanda vyote vya Temeke Mwisho na maeneo
ya jirani .
|
Ijumaa
Tar
13,Septemba 2013 03:00-11:00 Jioni
|
Kubadilisha
nguzo zilizoanguka na kukata miti kwenye laini ya umeme
|
Baadhi
ya maeneo ya Chang’ombe Viwandani, Simba Plastic, Robialac, Tanzania Printres,
JKT Keko, Chang’ombe TCC, JWTZ
Mwakalinga , Konyagi, Kiwanda
cha Biskuti , NMC,Plasco, Shule ya
Yemen, Ofisi za Wilaya Temeke, Maasai
Taifa,VETA, Fazal, Super Loaf, TRA Bora na Keko Toroli
|
Ijumaa
Tar
13,Septemba 2013 03:00-11:00 Jioni
|
Kufunga
mita za 33Kv na kuwaunganishia umeme
wateja wapya
|
Soko
Maziwa, Kwa Mwingira, Mjimwema, Kibugumo, Tippa, Nunge Kambi ya wazee,
Hispitali ya Vijibweni,eneo la Kisiwani,,Kimbiji,Lake Cement, Hoteli za
Ufukweni, Kibada na Mikwambe.
|
Tafadhali
usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 /
0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: OFISI YA
UHUSINAO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment