September 30, 2013

KATIZO LA UMEME – MIKOA YA KINONDONI KASKAZINI NA KUSINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mikoa ya Kinondoni Kaskazini na Kinondoni Kusini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

MKOA WA KINONDONI KASKAZINI:

SABABU: Kukata miti chini ya laini.

TAREHE NA MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Jumatano                             02,October,2013                        0300 - 1100 Jioni
ITV na Radio One, Tan pack tissues, Mwenge Kijijini, Bamaga, Chuo cha Ustawi wa Jamii, Hongera bar, Tume ya Sayansi, Polisi Mabatini, maghoroa ya Chuo cha Ustawi wa Jamii, Afrika sana, TRA Mwenge, Shule ya Msingi Mapambano, Maghorofa ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Mtaa wa Meeda bar, maeneo ya Blue bird, maghorofa ya Jeshi la Wananchi Tanzania- Mwenge, Hospitali ya Mama Ngoma, Maghorofa ya TBC, Mtaa wa Ikangaa, Maghorofa ya BOT, maeneo ya Kijitonyama kwa Mwarabu na maeneo yanayozunguka.
Alhamisi                          03,October ,2013                        0300 - 1100 Jioni
 Mikocheni 'A', Ofisi ya Raisi Makumbusho, Chuo cha Uandishi wa habari, Mlimani TV, CCM kwa Marwa bar, Msasani Kisiwani, Shoppers Plaza, Hospitali ya TMJ, Mayfair Plaza, Bonde la Mpunga, Kota za TANESCO, Zantel, maeneo ya Namanga, Msasani Makangira, Maandazi road, Mtaa wa Butembo, Regent estate, Hospitali ya Kairuki/Mikocheni, Mitaa ya Ursino na Chatto na maeneo yanayozunguka.
Ijumaa                              04 ,October,2013                        0300 - 1100 Jioni
Kunduchi yote, Kunduchi Pwani, Kunduchi Recruitment Training School (RTS) of TPDF, Mbuyuni, MECCO, JKT machimbo, Tegeta darajani, Salasala kwa Mboma, Kilimahewa, Salasala Benaco, RTD Salasala, Salasala Kijijini, Green Acres school, Part of Kilongawima, Mbezi Africana, T-square bar, Mbezi Majumba sita, Lugalo Salasala, Kinzudi, Bagamoyo, Bunju yote na maeneo yanayozunguka.

MKOA WA KINONDONI KUSINI:

SABABU: Kufanya matengenezo ya line ya msongo mkubwa na kufunga switches.

TAREHE & MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Jumatano - Alhamisi
2/10/2013 - 3/10/2013              03:00 Asubuhi – 11:00    Jioni
Ubungo Kibangu, Makoka, Kimara Mwisho, Bonyokwa, Kimara Stop Over, Kimara Temboni, Kimara Suka, kwa Msuguli, Kibanda cha mkaa, Mbezi mwisho, King’ong’o, Makabe, Mpigi Magohe, Kwembe, Kibamba, Malamba Mawili na maeneo ya karibu.


Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo KINONDONI KASKAZINI  022 2700367, 0784 768584,  0716 768584, KINONDONI KUSINI 0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461,  Au namba za Huduma kwa Wateja 2194400 or 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO MAKAO MAKUU,

No comments:

Post a Comment