September 19, 2013

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA DODOMA



Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa mkoa wa Dodoma kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMAMOSI 21/09/2013 kuanzia Saa 03:00 asubuhi - 11:00 jioni.  Sababu ni kubadilisha nguzo zilizochakaa

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA KATIKA WILAYA YA KONDOA:-
Aya Sekondari, Mondo,Kelema Maziwa, Dalai, Jenjeluse, Goima, Songolo, Hamai na Churuku

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA KATIKA WILAYA YA KITETO
Chamanda, Mlijo juu,  Mrijo Chini, Soya, Kiteto Mjini, Mapango, Matui, Dosidosi, Enguselo,Njoro, Chekanao, Kipelesa na maeneo yote ya Kiteto

Tafadhali usiguse wala kukanyaga nyaya zilizoanguka, toa taarifa kupitia namba zifuatazo 026 2321728, 0732961270, and 0732961274. au namba za huduma kwa wateja  2194400 or 0768 985 100.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO  – MAKAO MAKUU.



No comments:

Post a Comment