TAARIFA
YA KATIZO LA UMEME
Shirika
la Umeme Tanzania TANESCO linapenda
kuwataarifu wateja wake wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme
lama ifuatavyo:-
TAREHE:
|
SABABU:
|
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
|
Jumanne
10/September/2013
03:00-11:00 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini
ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza.
|
Government
houses Mikocheni,TPDC,Rose Garden,TTCL Kijitonyama,Earth satelite,Commission
of Universities of Tanzania,Millenium Tower,Letisia Tower,CRJE,Heko
Kijitonyama,Mjimwema,Kijitonyama Ali maua,Kijitonyama Kisiwani,Hon.Anna
Makinda area,Contena bar,Queen of Sheba Area,Bobs motel,Roman Catholic church
Kijitonyama,Johannesburg & Wanyama & Lion hotels
|
Jumatano 11/September/2013 03:00 – 11:00 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini
ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
|
Tunisia,
Kinondoni and Msese Roads,Tazara Club,Kaunda,Kenyatta Roads,Laiboni Street,Stanbic
bank/Ocean front,Kinondoni Shamba and Ada estate.
|
Alhamisi 12/September/2013 03:00 – 11:00 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini
ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
|
Mikocheni 'A',Ofisi ya Raisi
Makumbusho,Chuo cha Uandishi wa habari,Mlimani TV,CCM kwa Marwa bar,Msasani
Kisiwani,Shoppers Plaza,TMJ Hospital,Mayfair Plaza,Bonde la Mpunga,Tanesco Quorters,Zantel,
Namanga area,Msasani Makangira,Maandazi Rd,Butembo Street,Regent Estate,Kairuki/Mikocheni
Hospital,Ursino and Chatto Streets,
|
Ijumaa 13/September/2013 03:00 – 11:00 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini
ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
|
Mbezi Bondeni,Luvent Street,Almas Street,Mwl Nyerere
School,Mbezi Maguruwe,Simba Rd,Chui Rd,Aly Sykes Rd,Beach Street,BOT Mbezi
,TTCL Mbezi Beach,Zena Kawawa Rd,Roman Catholic Mbezi Beach,Mbezi Miti Mirefu,Uwanja
wa walenga Shabaha,Jangwani Beach,Belinda,Giraffe,Whitesands, and Green
Manner Hotels,Part of KilongawimaNMC Quorters
|
Jumamosi 14/September/2013 03:00 – 11:00 Jioni
|
Kukata miti chini ya laini
ya umeme nakubadilisha Nguzo zilizooza
|
Bahari Beach,Kondo Village,Ununio,Ras
Kilomoni,Budget Hotel
|
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584.
Au
Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa
usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano
Tanesco-Makao
Makuu
No comments:
Post a Comment