September 19, 2013

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINIShirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

SABABU:  Kufunga swichi ya laini ya msongo mkubwa (33KV load breaker switch)

RATIBA YA KATIZO LA UMEME

TAREHE NA MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
           Jumamosi
21/09/2013
Saa 4:00 Asubuhi hadi saa 10:00 jioni   
Landmark Hotel, Ubungo Kisiwani, Mikoani Traders, Benjamini Mkapa Economic Zone, BP Mandela road, Mlimani property, Diesel Mandela Road,SITA Steel,Simba Steel,NIDA Textile,Tabata, ALAF,Cello Industry,Buguruni Maji machafu,Part of Buguruni Kwa Mnyamani,Bora Industry,Kioo Limited&TCC ,Tridea  Cosmetics  ,Quality  Centre, Azam Buguruni, Alaf LTD, Qujam Steel, Kamal Steel, Bakresa, Steel Master, Cello Industry, East star International na maeneo ya jirani (FZ3 - 1 )Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461,  Au Call centre number 2194400 or 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.                                         

Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano
                        Tanesco-Makao Makuu

No comments:

Post a Comment