October 17, 2013

ARUSHA NA KILIMANJARO

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kuwa kutakuwa na katizo la umeme kwa tarehe 19, 21, 23, 25 na 27 OKTOBA, 2013 kuanzia saa 3:00 Asubuhi hadi saa 12:00 Jioni.  Sababu ni kubadilsha nguzo zilizooza na kufanya matengezo kwenye fida ya USA.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
KIA, Kikatiti, King’ori, Kiwanda cha Gypsum, eneo la Machimbo ya Mawe njia panda KIA, Wilaya za Hai na Siha na maeneo yanayozunguka maeneo hayo.
Tafadhali usiguse wala kusogelea waya wa umeme uliokatika toa taarifa TANESCO kwa namba za simu: 0732979280, 2506110 na 2503551/3).
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO AMKUU.

No comments:

Post a Comment