October 4, 2013

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKEShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      08/10/ 2013, Jumanne       
MUDA:           2:00 Asubuhi – 8:00 mchana

SABABU:      Kufanya matengenezo kwenye laini kubwa ya umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:  
Shule ya Yemen, Yero Maasai,  Uwanja wa Taifa, TRA VETA, Fazal, USAID Godown, superloaf, Keko Magurumbas,i Bora, JKT Mgulani, Keko Toroli ,Sophia House, Mantrack, Quality Centre, Tarmal, TOL, Bakhresa, Mzizima na Kiwanda cha Saruji Maweni

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:- 0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 /0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO  – MAKAO MAKUU. 
                           

No comments:

Post a Comment