October 3, 2013

KINONDONI KASKAZINI

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
SAA:        3.00 asubuhi  hadi saa 11.00 jioni.
TAREHE:      05 Oktoba 2013 (Jumamosi)
                    
SABABU:  Matengenezo katika kituo cha kupooza umeme cha Mbezi beach.
   
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Kambi yaJeshi Lugalo, Hospitali ya Lugalo, kawe, Mwenge eneo lote la Mbezi Beach na maeneo yanayolizunguka, ATN/Agape Television, Kiwanda cha Maaza Juice, Polypet Industry, Interchik , Chemi &Cotex factories, Jangwani beach, Belinda, Giraffe, Whitesands, Packers, Kunduchi, Green Manner hotel na  Kilongawima.
TAREHE:      06 Oktoba 2013 (Jumapili)
                    
SABABU:   Matengenezo katika kituo cha kupooza umeme cha Bahari beach.
   
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Bahari beach, Kondo village, Ununio, Ras Kilomoni, Budget hotel, Tegeta Bakili Muluzi school, Mbweni, Mpiji, Wazo quorters, Dogodogo centre, Uwanja wa Nyuki, Ofisi ya Raisi flats, Kunduchi Recruitment Training School (RTS) of TPDF, Mbuyuni, MECCO, JKT machimbo, Tegeta, Salasala, Green Acres school na baadhi ya maeneo ya Kilongawima
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo 2700367, 0716 768584 na 0784 768584, kituo cha miito ya simu namba 2194400.
                            
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:    Ofisi ya Uhusiano
                               TANESCO - MakaoMakuu

No comments:

Post a Comment