October 8, 2013

ARUSHA

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MIKOA YA KILIMANJARO NA ARUSHA

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kuwa kutakuwa na makatizo ya umeme  maeneo mbali mbali kama ifuatavyo:
TAREHE          Kuanzia 15/09/2013 hadi    15/10/2013       
                       
SABABU:    Kufanya marekebisho ya mwisho na kuunganisha laini za umeme za 33Kv
kwenye kituo kipya cha kupoozea umeme cha KIA, kubadilisha nguzo na kufanya matengenezo kwenye laini ya umeme ya USA.
MAENEO YATAKAYO ATHIRIKA:
WILAYA YA HAI, WILAYA YA SIHA YOTE, MERERANI BOMA NG’OMBE, KWA SADALA LONGAI, LANGOI, PAMOJA NA BAADHI YA MAENEO YA KIN’GORI, UWANJA WA NDEGE WA KIA NA MAENEO YA JIRANI    
                                                        
‘‘usiguse wala kusogelea waya uliokatika au kuanguka chini, toa taarifa kwenye ofisi ya TANESCO    kupitia namba 0272755007, 0272755008, na 0272754035
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
IMETOLEWA NA:  OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment