October 8, 2013

PWANI

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA PWANI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa Pwani kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMATANO 09/10/2013 kuanzia saa 4:00 Asubuhi - 6:00 Mchana.  Sababu ni kufanya matengenezo, kubadilisha nguzo zilizooza katika Line ya Msongo  wa 33KV Mkuranga.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:
Mkuranga , Vikindu na Kisemvule
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo: 0657 108782, 0785 122020 au Call centre namba 2194400 au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.                  
                         

No comments:

Post a Comment