October 22, 2013

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKEShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa TEMEKE kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMATANO tarehe 23.10.2013 kuanzia saa 3:00 Asubuhi hadi 11 Jioni.  Sababu ni kufanya matengenezo katika vituo vya Mbagala na Kurasini.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-

Maeneo yote ya Mbagala,  Mtoni, Kurasini, Bandari, Keko Mwanga Keko ,Mtoni  Kijichi, Mbozi Road, Sokota,Uwanja wa Taifa , DUCE na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
 0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 /
 0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:-         OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment