Shirika la Umeme Tanzania TANESCO
linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa
kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
SABABU: Kufunga swichi kwenye laini ya msongo mkubwa wa
kilovolti 33 (Nordic feeder).
TAREHE
|
MUDA
|
ENEO
|
Alhamisi
17/10/2013
|
Saa 04:00 Asubuhi – 7:00
Mchana
|
Ubungo Kibangu, Makoka, Kimara
Mwisho, Bonyokwa, Kimara stop over, kimara Temboni, Kimara Suka, Kwa Msuguli,
Kibanda Cha Mkaa, Mbezi Mwisho, King’ong’o, Makabe, Mpigi Magohe, Kwembe,
Kibamba, Malamba Mawili na meneo yote ya jirani. (NORDIC - FEEDER)
|
Saa 07:00 Mchana – 11:00 Jion
|
Kimara Stop Over, Kimara Temboni,
Kimara Suka, Kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho, King’ong’o, Makabe,
Mpigi Magohe, Kwembe, Kibamba, Malamba Mawili na meneo yote ya jirani. (NORDIC - FEEDER)
|
|
Tafadhali
usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 0222171762
– 65, 0784271461, 0715271461, Au Call centre number 2194400 or 0768 985100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na:
OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO MAKAO
MAKUU.
No comments:
Post a Comment